Msafara wa Wabunge wa kamati ya Tamisemi wapata ajali katika eneo ya
mteremko wa kerege. Watumishi 5 wa Halmashauri ya Bagamoyo na dereva
wamefariki ila wabunge wamepona wote. Hii ni baada ya Lori kuparamia
msafara wao. Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.
No comments:
Post a Comment