Wabunge na Maseneta wa Bunge la Marekani wakimuombea Rais Magufuli, ili
aweze kufanya kazi zake vizuri walipotembelea ofisi za Spika wa Bunge
kwa mazungumzo mafupi jana. Rais Magufuli siku zote amekuwa akisisitiza
na kuomba wananchi wamuombee.
Neno moja tu kwa wabunge hawa wamarekani
No comments:
Post a Comment