Tazama Video iliyonasa Magoli yote Mawili ya Yanga vs Simba Feb 20. ( 2-0 )
February 20 2016 ilichezwa hii mechi ya Yanga vs Simba uwanja wa taifa Dar es salaam ikiwa ni mechi ya ligi kuu ambapo Yanga walichukua ushindi wa 2-0, ikiwa ni mara ya 31 Yanga kuishinda Simba toka timu hizi zianze kukutana uwanjani…
Bonyeza play hapa chini uone magoli yote ya Yanga leo.
No comments:
Post a Comment