Magufuli akiongea na Wazee wa Dar es Salaam leo Amemsifia Mkuu wa Wilaya
ya Kinondoni Paul Makonda na Kusema siku akipanda cheo watu
wasinung'unike, kazi yake imeoneakana na heshima yake imeonekana
Hongera Makonda. Nyota yako imewaka. Mh Raisi kakuona... Sasa usiende kulala.
Nadhani leo Mbunge wa Ubungo (Mh Kubenea) ataugua homa...
No comments:
Post a Comment