Msanii wa filamu Shamsa Ford juzikati alitoa kali ya mwaka baada ya
kutinga kwenye Ukumbi wa Sky nightlife uliopo Masaki akiwa ametinga
kigauni kifupi ambacho kila alipoinama kwa kucheza alikuwa akimwaga
lazi.
Shamsa aliyekuwa kivutio ukumbini hapo alionekana kukongwa na nyimbo za
msanii Belle 9 ambapo kila ulipopigwa wimbo aliinuka akiwa na glasi yake
mkononi na kukata mauno kama aliyekuwa ameahidiwa zawadi nono.
No comments:
Post a Comment