Kimenuka: Waziri wa Elimu Amfuta Kazi Mkurugenzi wa Bodi Ya Mikopo Kwa Utendaji Mbovu
Waziri wa Elimu, Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce
Ndalichako amemfuta kazi Mkurugenzi wa bodi ya mikopo na wakurugenzi
wengine wa nne kutokana na utendaji mbovu katika kuendesha bodi hiyo.
No comments:
Post a Comment