Zuma yupo analihutubia Bunge, amechukua hatua za kukata matumizi ya
serikali sawasawa kabisa na alivyofanya Magufuli , mfano safari za nje
lazima zizipate kibali, sherehe za kibunge, kusafiri nje na delegation
kubwa marufuku na mengine mengi.
Ama kweli Magufuli ni mfano duniani!
No comments:
Post a Comment