Yamenikuta Mie mwenzenu hata sijui nifanye nini ila kwa kifupi ni kuwa
nimepata ushahidi bila chenga kuwa mke wangu na mfanyakazi wa ndani ama
House Girl Wanasagana, Bado sijamwambia mke wangu kwamba najua kwa
sababu hata sijui nianzie wapi ..ila ni kwamba juzi asubuhi nilipomaliza
kujiandaa kwenda kazini nikatoka ndani ila nilisahau simu hivyo
nikarudi kuichukua cha kushangaza nilimkuta mke wangu hayupo chumbani
kwetu kwani nilimuacha amelala basi sikujali sana nikajua yupo chooni
ila wakati nataka kutoka ndani nikawa nasikia makalele ya mihemeko ya
mapenzi kwa mbali hapo ndipo nilipostuka na kunyemelea chumba cha house
girl wetu na ambapo sauti zilikuwa zinatokea,
Nilichosikia hata sina hamu ila nikelele za ku do kabisa wakihamasishana
wakijua wapo wenyewe ndani ya nyumba…kiufupi kilinishuka nikashindwa
nifanye nini …
Baada ya muda nilitoka nikaenda zangu kazini bila kufanya chochote huku
nafikiria ni kitu gani nakosea mpaka mke wangu haridhiki na dozi yangu??
Isitoshe asubuhi hiyo hiyo nimetoka kumpa kimoja cha haja ….Embu
nishaurini nifanye nini Jamani ??
No comments:
Post a Comment