 |
Picha ya Tukio Jingine |
Polisi mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya yampa zawadi ya Laki tano Bi Sophia
Manguye Mkazi wa kata ya Sirari wilaya ya Tarime mkoani Mara kwa
ushujaa wake wa kupambana na Majambazi na kufanikiwa kuwanyang'anya
silaha aina ya SMG.
Tukio hilo lilitokea wakati majambazi walipovamia duka lake usiku na
kumkuta ndani ambapo aliwalia timings na kuwanyanganya bunduki na
kufanikisha jambazi moja kukamatwa..
No comments:
Post a Comment