Yatokea Sitofahamu katika Pantoni La Kigamboni baada Ya Kugoma Leo Asubuhi
Hatari....Nimetumiwa picha hizi hapa na wadau wa Udaku Special Blog
zikionyesha hali ilivyokuwa katika kivuko cha Kigamboni leo asubuhi ,
Bado sijapata nini kilisababisha hatari hiyo nitawajuza nitakapopata
habari kamili baadae
No comments:
Post a Comment